Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,482
- 27,182
Unataka kutuaminisha kuwa ulikuwa Bikira au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini umeanza ngono umri mdogo hivyo..!???miaka 20,
elimu Diploma
Njoo inboxHabari Wana JF.
Kwa majina naitwa Sara...
wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant...
Tarehe 27.. nilikutana na Mpenzi wangu Kimwili Na Baada ya kumaliza hapo Kichwa kiliniuma na baadae kdg Tumbo liliniuma sana, hasa Chini kidogo ya kitovu.. kesho yake maumivu yalipungua ila maajabu baada ya siku mbili DAMU ikaanza kutoka Ukeni... Na Leo ni siku ya 3 Damu inaendelea kutoka Na haina maumivu kabisa (Damu inatoka ukeni na Sihisi maumivu kama yale ya hedhi)..
Naombeni kama kunamtu aliewahipitia hii au Daktari anipe mwanga kidogo
AHSANTEN SANA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu unachekesha sana mbona umekazania kijana sana
Habari Wana JF.
Kwa majina naitwa Sara...
wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant...
Tarehe 27.. nilikutana na Mpenzi wangu Kimwili Na Baada ya kumaliza hapo Kichwa kiliniuma na baadae kdg Tumbo liliniuma sana, hasa Chini kidogo ya kitovu.. kesho yake maumivu yalipungua ila maajabu baada ya siku mbili DAMU ikaanza kutoka Ukeni... Na Leo ni siku ya 3 Damu inaendelea kutoka Na haina maumivu kabisa (Damu inatoka ukeni na Sihisi maumivu kama yale ya hedhi)..
Naombeni kama kunamtu aliewahipitia hii au Daktari anipe mwanga kidogo
AHSANTEN SANA
Nimeacha wenye taaluma watoe unajua ushauri mwingi humpotezaAsante B, ameshapewa majibu hapo juu...
Kwanini hukutoa ushauri sasa?😉😉😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwani panaumaga tukiwa hedhi?maana ulivyosema unakua bado unaumwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole ila binafisi naona kuingia trh 21 it means trh 25 ulitoka period, trh 27 bado ni mapema kulala na mwanaume . siko sure ila nahisi ile sehemu unakuwa bado unaumwa sasa kukutana na mwanaume, na mwanaume mwenyewe ukute ana mguu wa mtoto mhhhhh. Anyway mwone Dr.
hivi kumbe damu ina rangi nyingi eeUnatumia vidonge vya uzazi wa mpango??
Damu inatoka ya rangi gani? Kuna mabonge?
😳😳😳😳 khaa kuna watu mna majaribuAmbatanisha na picha
Kuna member uume ulikua na vipele alipiga pcha jinsi gani ulivyo hadi sasa hiv n mzima wa afya
Yeah inaweza kuwa bright red , au dark redhivi kumbe damu ina rangi nyingi ee
Wasomi mmewaza mbali sana, hiyo dogo ndio mara ya kwanza anaona hiyo hali na hakuna shida nyingine. Antifibrinolytic agents zingemtosha kwa kuanzia kwa mtazamo wangu.Pole sana yawezekana una tatizo la insulin resistance,.kwani huwa hivi damu inaweza kutoka siku kadhaa ukaona kama imekata ila itaendelea kutoka hata kidogokidogo na wakat mwingine haijakolea inakua kama pink.kama ni hivyo basi nenda kwa doct wa wanawake yawezekana una shida hiyo ambayo husababishwa na hormonial imbalance