Natokwa Damu Ukeni Na sio Hedhi

Natokwa Damu Ukeni Na sio Hedhi

jayleoncy112

Senior Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
164
Reaction score
73
Habari Wana JF.
Kwa majina naitwa Sara...
wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant...

Tarehe 27.. nilikutana na Mpenzi wangu Kimwili Na Baada ya kumaliza hapo Kichwa kiliniuma na baadae kdg Tumbo liliniuma sana, hasa Chini kidogo ya kitovu.. kesho yake maumivu yalipungua ila maajabu baada ya siku mbili DAMU ikaanza kutoka Ukeni... Na Leo ni siku ya 3 Damu inaendelea kutoka Na haina maumivu kabisa (Damu inatoka ukeni na Sihisi maumivu kama yale ya hedhi)..

Naombeni kama kunamtu aliewahipitia hii au Daktari anipe mwanga kidogo

AHSANTEN SANA
 
Inaweza kuwa ni infections, nenda hospitali, jitahd mwende wote mkatibiwe.
 
Nahitaji kuandika ila naona nimetingwa kidogo, kwa ufupi nenda hospitalini ukafanyie physical examination kwa kutumia vaginoscopy ambao dakatari atachunguza kama kuna mabadiliko yoyote katika cervix, au kuta za uke wako na kama atakuta kuna mabadiliko basi itambidi achukue sampuli kidogo kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Naomba niandike kwa undani zaidi kwa hapo baadae maana kuna kazi imenitinga kidogo hapa mkuu.

Ila kwa dalili za mwanzo hapo inaweza kuwa una tatizo au unaelekea kupata cervical cancer.
 
Habari Wana JF.
Kwa majina naitwa Sara...
wiki Mbili zilizopita... yaani tar 21 Niliingia kwenye Mzunguko wangu wa hedhi kama kawaida, na Huu mzunguko haujawah yumba uko Constant...

Tarehe 27.. nilikutana na Mpenzi wangu Kimwili Na Baada ya kumaliza hapo Kichwa kiliniuma na baadae kdg Tumbo liliniuma sana, hasa Chini kidogo ya kitovu.. kesho yake maumivu yalipungua ila maajabu baada ya siku mbili DAMU ikaanza kutoka Ukeni... Na Leo ni siku ya 3 Damu inaendelea kutoka Na haina maumivu kabisa (Damu inatoka ukeni na Sihisi maumivu kama yale ya hedhi)..

Naombeni kama kunamtu aliewahipitia hii au Daktari anipe mwanga kidogo

AHSANTEN SANA
Pole sana binti, kwa maelezo yako nahisi hiyo ni moja ya dalili za saratani ya shingo ya kizazi.
Kumbuka saratani ya shingo ya kizazi yaweza kutibika iwapo itagundulika mapema.PAP TEST (PAPANICOLAOUS TEST);Pap-Smear ni test ambayo hutumika kuchunguza mabadiliko ya chembe zilizoko katika mlango wa kizazi ili kugundua mabadiliko yanayotokea katika chembe hizo na hivyo kuwahi kuyakabili mapema.
 
Unatumia njia za mpango wa uzazi???
 
Nenda hospital iliyokaribu yako,hospital wilaya au mkoa,onana na mapokezi,watakuprleks kwenye vipimo,uonane na daktari bingwa wa wanawake.Hospital za serekali,zina madaktari wazuri sana,watamaliza tatizo lako.Japo mimi sio daktari,lakini nakushauri ufanye hivyo.
 
Hao Mabwana zenu wanapakaa Madawa kwenye kichwa cha Dushe af anakuingizia. Hayo ndo madhara yake
 
Lakini ukitaja kabiLa lako na mkoa gani upo ni sawa pia...
 
Ukitaka hii kesi ikuchekeshe mwambie mshkaji uone assumptions zake.

Anyway nenda hospitali au google kama kwenda hospitali ni mzigo.
 
Nahitaji kuandika ila naona nimetingwa kidogo, kwa ufupi nenda hospitalini ukafanyie physical examination kwa kutumia vaginoscopy ambao dakatari atachunguza kama kuna mabadiliko yoyote katika cervix, au kuta za uke wako na kama atakuta kuna mabadiliko basi itambidi achukue sampuli kidogo kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Naomba niandike kwa undani zaidi kwa hapo baadae maana kuna kazi imenitinga kidogo hapa mkuu.

Ila kwa dalili za mwanzo hapo inaweza kuwa una tatizo au unaelekea kupata cervical cancer.
Pole sana binti, kwa maelezo yako nahisi hiyo ni moja ya dalili za saratani ya shingo ya kizazi.
Kumbuka saratani ya shingo ya kizazi yaweza kutibika iwapo itagundulika mapema.PAP TEST (PAPANICOLAOUS TEST);Pap-Smear ni test ambayo hutumika kuchunguza mabadiliko ya chembe zilizoko katika mlango wa kizazi ili kugundua mabadiliko yanayotokea katika chembe hizo na hivyo kuwahi kuyakabili mapema.
Zingatia huu ushauri kutoka kwa magwiji hawa ili uwahi kutibu tatizo ilo mapema wahi hospitali uka cheki vipimo mapema
 
dah , adi munkari wa nyege umepungua, bora nisingesoma huu uzi
 
Back
Top Bottom