Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ndugu zangu natokwa na maji kwenye kucha za miguu alafu kucha zenyewe zinaonesha dalili za kuharibika tatizo ni nini? na nini tiba yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fasta kapime sukari mkuuNdugu zangu natokwa na maji kwenye kucha za miguu alafu kucha zenyewe zinaonesha dalili za kuharibika tatizo ni nini? na nini tiba yake?
kweli aende hospitali akapime sukariSioo chumvi
sukari ina husika vipi hapa mkuu? sio kansa hii?fasta kapime sukari mkuu
ndioHayo majimaji yana harufu??
asante kakaPole sana mkuu
sawa ,kwa hiyo haiusiani na kansa kabisa?Yaweza kuwa ni fungus
Pia wagonjwa wa kisukari pia Huandamwa sana na infection Kwenye kucha za vidole
Iko haja ya kwenda hospital unaweza kupoteza kucha mkuuu
Ila picha yako ni shida.asante kaka
lo lo lo lo pole sana,dah dah dah pole aisee, ma ma ma daaaaaah!
Binafsi naweza kusema ni fungal infectionsawa ,kwa hiyo haiusiani na kansa kabisa?
sawa mkuu nashukuruBinafsi naweza kusema ni fungal infection
Majibu sahihi utayapata hospital Mkuuu ningeshauri dawa za kutumia lakin si njia bora
Njia sahihi kuhudhuria hospital kisha ukaandikiwa dozi stahiki
Avataripi avatar au hiyo ya kidole?
Weka sura yako kama nilivyoweka mimi.nitaibadilisha ucjal
Mkuu kansa si ya kuomba uipate aisee... Tutakata hiyo miguu ooh ohsukari ina husika vipi hapa mkuu? sio kansa hii?