Natokwa na maji machafu kwenye kucha za miguu, naomba kujuzwa tiba yake

Asante mkuu
 
Ndugu zangu natokwa na maji kwenye kucha za miguu alafu kucha zenyewe zinaonesha dalili za kuharibika tatizo ni nini? na nini tiba yake?
Bila shaka ni fangasi..hvy ni bora ukawahi matibabu mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi ya hapo.
 
Mkuu kwa kuangalia picha ... Hiyo condition kwa jina la kitaalamu inaitwa "Koilonychia" na ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa " Anaemia " Hapa naongelea Hypochromic anaemia ambayo hutokana na upungufu wa madini ya chuma mwilini...
kwa uhakika zaidi ni vyema ukaenda kuonana na daktari kwa uthibitisho zaidi... Pole Sana and I wish you all the best mkuu......
 
Lilinitokea hilo tatizo mwaka nilifikiri ni fungus, dr. aliniambia nimwone chiropodist ndiye aliyenifanyia minor surgery ya kuchonga kucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…