Natokwa na maji machafu kwenye kucha za miguu, naomba kujuzwa tiba yake

Natokwa na maji machafu kwenye kucha za miguu, naomba kujuzwa tiba yake

Huenda ikawa ni growing nail problem...hii hutokana na mwili kuongezeka uzito na size ....hasa kama huna mazoea ya kukata kucha halafu unavaa viatu mda mwingi...hii hufanya nyama kuziba njia ya kucha hivyo kujikuta kucha zikichimba ktk kuta za vidole hasa dole kubwa...hivi vidonda huwa si sana rahisi kupona...husababisha usaha...majimaji na wkt mwngne damu pia....Mimi nilipatwa na hili tatizo mwezi mei niliteseka mwezi mzima....lkn nilienda dispensary moja IPO pale kigogo mwisho nikafanyiwa operation ndogo kwa kung' oa sehemu ya ukucha iliyoathirika ili kuruhusu kidonda kupona ikiwa umeathirika zaidi ukucha mzima unaweza kutolewa na hata ukiota huwa dhaifu...gharama yake ni tsh. 20,000 kwa kidole kimoja pamoja na dawa...Ila utangolewa kwa interval ya siku mbili...maana changamoto kidogo...Mungu akutie nguvu mkuu utapona
Asante mkuu
 
Ndugu zangu natokwa na maji kwenye kucha za miguu alafu kucha zenyewe zinaonesha dalili za kuharibika tatizo ni nini? na nini tiba yake?
Bila shaka ni fangasi..hvy ni bora ukawahi matibabu mapema kabla hali haijawa mbaya zaidi ya hapo.
 
Mkuu kwa kuangalia picha ... Hiyo condition kwa jina la kitaalamu inaitwa "Koilonychia" na ni dalili moja wapo ya ugonjwa wa " Anaemia " Hapa naongelea Hypochromic anaemia ambayo hutokana na upungufu wa madini ya chuma mwilini...
kwa uhakika zaidi ni vyema ukaenda kuonana na daktari kwa uthibitisho zaidi... Pole Sana and I wish you all the best mkuu......
 
Huenda ikawa ni growing nail problem...hii hutokana na mwili kuongezeka uzito na size ....hasa kama huna mazoea ya kukata kucha halafu unavaa viatu mda mwingi...hii hufanya nyama kuziba njia ya kucha hivyo kujikuta kucha zikichimba ktk kuta za vidole hasa dole kubwa...hivi vidonda huwa si sana rahisi kupona...husababisha usaha...majimaji na wkt mwngne damu pia...
Lilinitokea hilo tatizo mwaka nilifikiri ni fungus, dr. aliniambia nimwone chiropodist ndiye aliyenifanyia minor surgery ya kuchonga kucha.
 
Back
Top Bottom