Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

drake_vamp

Member
Joined
Dec 5, 2014
Posts
13
Reaction score
1
Naumba utatuzi ni siku ya tatu sasa tangu nifanye mapenzi kwa mara ya kwanza yaaan kutolewa bikra ila kuna vitu vya rangi ya damu vinavyoteleza vinatoka ukeni je ni kawaida kwa hii hali au sio kawaida, . Na kama sio kawaida je ni nini nifanye ili kuondokana na hii hali, .Asanteh
 
Wahi vipimo...
 

Attachments

  • 1418242424975.jpg
    1418242424975.jpg
    37.9 KB · Views: 1,133
matangazo yalipiwe...
 

Attachments

  • 1418243719355.jpg
    1418243719355.jpg
    120.8 KB · Views: 1,032
Hakuna alufu yoyote, ila hapa siku za karibu nakaribia kuingia menstruation
 
Sina akili za kuadithia mimi ni mkubwa ndo maana nikaleta hilo jambo huku MO11
 
Last edited by a moderator:
sidhani maana ana miaka 16
sheria haziruhusu hivyo AMEANZA MAPENZI AKIWA NA UMRI MDOGO

Kama hajaolewa hayo mambo yakikubwa anayataka ya nini? Anakimbilia wapi?? Amesikia zinaisha?? 16???????
 
Back
Top Bottom