Natokwa na maji ya kuteleza yenye rangi ya damu sehemu za siri

Umri si tatizo kuna wasichana wana balehe wakiwa wadogo sana, miaka 16 ni mtu mzima huyo kwa mwanamke, najuwa wanaume bado wanakuwa wajinga wakiwa miaka 16.

Swali langu lilikuwa hivi; , jee "Hayo mapenzi ulifanya kwenye ndoa au nje ya ndoa?"

umri ni tatizo kuwahi kubalehe sio tatizo umri wake anatakiwa awe shule kama sio form four form three
unataka kutuletea taifa la wajinga hapa

hivi unaweza kumuachisha mwanao shule ili aolewe kwa kuwa kabalehe ?? eti ndio kapata akili ?
 
Sasa ndiyo umesema nini? nenda Zanzibar, kuna shria kabisa, wapo wanaosoma na wameolewa.

Hebu tuondolee upuuzi wako hapa.

Sasa nakuomba kamuulize mama'ko, alibalehe akiwa na miaka mingapi.
 
Zanzibar napo kuna elimu ??
taja mtoto wa kiongozi anayesoma Zanzibar ??

kwani wewe bibi ulibalehe ukiwa na miaka mingapi ?
 
Miaka 16 naelekea 17

Mkiharibiwa vizazi na mihogo ya jang'ombe mankuja kusema "eti sijui nina matatizo gani"
wewe mtoto Drake utakuwa ulipigwa paipu ya uhakika na mdau kwa hiyo kitu bado kina vibrate kwa kupumulia mashine.
 
Attachments

  • ED.jpg
    ED.jpg
    6.2 KB · Views: 749
Last edited by a moderator:
Mkiharibiwa vizazi na mihogo ya jang'ombe mankuja kusema "eti sijui nina matatizo gani"
wewe mtoto Drake utakuwa ulipigwa paipu ya uhakika na mdau kwa hiyo kitu bado kina vibrate kwa kupumulia mashine.

duuh umenifanya nitoe MACHOO
 
Last edited by a moderator:
Bado hatustahili ichi tulichopewa we are far away from #Civilization .....
Ivi jamii ya Tanzania bado mauliza umri na kuponda mtu anapoomba msaada.
Kuna bendi iliwai kuimba Vifo vingi utokea kwa kukosa misaada...labda mnataka mpaka afe ndio mtoe ushuhuda kwa kujifanya manabii.
Haya yote tumeyataka sisi coz jando na unyago hakuna tena watoto wanalelewa na mabeki tatu mda wote wa maisha yao....mi nmeshashuhudia mtoto akipata MP njiani na hata alipoulizwa akujua ni kitu gani.
Tumshauri uyu msichana anaweza akawa kakosa msaada
Utafiti unaonyesha 89% ya wasichana wameshiriki au wanajihusisha na vitendo vya ngono chini ya miaka 17 sasa sijui mnashangaa nini au nyie mmetoka sayari ya Mars.
 
Drake anataniwa sana hadi haka katoto kanajiita drake tena binti wa kike, kuanzia leo acha kutumia jina la "mnyamwezi drake graham". Cc fans wa drake tunapata hasira
 
Huyu binti anahitaji msaada, badala watu wampe ushauri wa kumsaidia mnakuja na dhihaka, ni nini sasa? Mnakua kama watu msiojitambua.

Hivi nawaza kama unaenda kituo cha huduma unakutana na majibu ya ovyo kama haya unajisikiaje?

Ngono ameshafanya, iwe salama au si salama. Alichotakiwa ni kuambiwa kwa namna ya kuelimishwa, hivi umejaribu kuwaza upande wa pili? Kama ni mwanao anakuomba ushauri unamjibu hivi basi ndio unamtuma akashauriwe na makundi rika.

Hii inaonesha hatuna utamaduni wa kuongea na vijana wetu kuhusu elimu ya afya ya uzazi. Na hata wanapokua wamepotea njia hatuwapi msaada wa kuwarudisha mstarini. Tunaropoka kama wahuni wa stand.

Malezi ni jukumu la wote, yeye kafikiria mazingira salama na ya usiri kwa upande wake akakimbilia huku, huku anakutana na majibu ya ovyo, atakimbilia wapi tena?

Mnapoamua kumjibu mtu hasa ukizingatia umri wake jitahidi kuwa muungwana, jaribu kuvaa uhusika wake, hakuna aliyekamilika.

Hapa tunamsema tu ila hawa hawa waliomsema kuhusu umri na ndoa karibia wote walianza katika mazingira kama yake tu.

Nyinyi ndio wale wahudumu mnaosababisha mtu akipata tatizo aogope kwenda kituo cha afya kwa kuogopa mineno yenu, matokeo yake wanajitibia tiba zisizo sahihi.
 
Naomba mods waweke dislike button na Most helpful post button nmeona kwenye forum nying za US....
 
Mkiharibiwa vizazi na mihogo ya jang'ombe mankuja kusema "eti sijui nina matatizo gani"
wewe mtoto Drake utakuwa ulipigwa paipu ya uhakika na mdau kwa hiyo kitu bado kina vibrate kwa kupumulia mashine.

duh hili goti hapana hata mtu mzima lazima ukimbie pasi na kuaga
 
Attachments

  • 1418373166647.jpg
    1418373166647.jpg
    6 KB · Views: 743
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom