Hili jukwaa sio la kufanya mzaha. Kugawanya kwa aina mbalimbali za majukwaa kuna mantiki yake.
Mzaha ukienea humu wenye shida zao watashindwa kupata msaada wanaostahili.
Pdidy Huyu Huyu?
Watu wanaongea Utumbo na Mzaha tu! Kama hujui si kaa kimya! Watu wanakera sana!
Hakuna alufu yoyote, ila hapa siku za karibu nakaribia kuingia menstruation
Ayo majimaji yangekua na vibonge bonge vyeupe, ningekushauri vingine. Lakin kwakuwa umesema yana vibonge vya damu inanipa shaka kdg.Asanteh kwa ushauri kindege534
Inaelekea ulifanywa bila kinga; kinachotoka ni sha hawa zilizomiminwa ndani yako.Huogopi virusi?
Naumba utatuzi ni siku ya tatu sasa tangu nifanye mapenzi kwa mara ya kwanza yaaan kutolewa bikra ila kuna vitu vya rangi ya damu vinavyoteleza vinatoka ukeni je ni kawaida kwa hii hali au sio kawaida, . Na kama sio kawaida je ni nini nifanye ili kuondokana na hii hali, .Asanteh
Jamii yetu kuna mahali imeteleza, ona huyu binti Mdogo kaingizwa kwenye ngono bila ufahamu wowote, na hana hata mtu wa karibu wa kumsaidia kulingana na matokeo baada ya kufanya ngono kwa mara ya kwanza.
Kwa vyovyote wala hakutumia condom kwa ajili ya kujikinga, sasa anatafuta elimu ya kupapasa, ikiwa ni elimu ambayo alipaswa kuanza kuisaka kabla hajajiingiza kwenye vitendo vya ngono. Ana miaka 16 sasa na tayari yuko kwenye maisha ya ngono. Pole sana mtoto.
Ova