faru john junior
JF-Expert Member
- Dec 26, 2016
- 1,596
- 1,719
Kunakuchelewa kubalehe. Mulize vzri mama mzazi sio mlez kama mma hayupo elewa umri umeenda anza kufanya mambo yanayoendana na uwepo wa mviDaah mkuu najua umri wangu mkuu nimebarehe miaka 6 iliyopita
Mkuu uhenga sio lazima uwe umefanya kitu kikubwa sana. Kwa mfano hapo ndio unapigiwa hodi kwamba jiandae hivyo inakupasa kupambana zaidiHahaaaa uhenga wenyewe wakati sijafanya kitu cha maana. Umri na mvi haviendani
Napendaga wenye mviSi utanikataa nikiwa na mvi
Mkuu hua situmii kilevi chochote hata soda. Chakula changu kikuu ni ugali dagaa..Fag,pombe Nazi zinachangia,na mavyakula ya kisasa.
We huwaoni hats vijana kama kna mtatiro,tayari kidevu kimejaa mvi
Tatizo mvi zipo kwenye ndevu sijagundua kichwani kama zipo..Ni kweli wanaume wengi wanakuwa na mvi kwenye nywele ukilinganisha na wanawake.
Nadhani pia wanaume tunaongoza kutumia sabuni kichwani wakati wa kuoga tofauti na wanawake ambao huenda saloon Mara moja kwa wiki kuosha nywele. Kumbuka sabuni ni kemikali.
Nadhani jambo kubwa ni kukubali hali.
Daaaah ngoja kama zitatapakaa nijikubari tu..Karibu mcheki Kabila mtoto stylw yake. Wala usiwe na shaka, unaweza kupaka mavitu (wako wengi wako hivyo), au ukazikubali ukajenga brand yako na watu watakukubali. Mimi hazuja wahi kunipa shida hata mara moja na kwa kazi yangu naamini zina nipaisha kiasi ingawa sijui huko MMU na Chit-chat zinaweza kukubalika kiasi gani. La msingi ni wewe mwenyewe utazichukuliaje na utazitumiaje. Kwa kawaida zikianza zitatapakaa nakichwani pia.