Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

Bahati hiyo mkuu,sasa utaonekana mkubwa,kwahiyo yale ya kitoto uyaache...
 
Ujue soon unachukua nafasi ya Uwaziri wa kingwangwala na hivi alivo Hospital Kaa na simu yako muda wote Jiwe anaweza kukupigia upate teuzi [emoji3]
 
Daaah namba yangu atapata wapi sasa..
 
Hahaaaa uhenga wenyewe wakati sijafanya kitu cha maana. Umri na mvi haviendani
Mkuu uhenga sio lazima uwe umefanya kitu kikubwa sana. Kwa mfano hapo ndio unapigiwa hodi kwamba jiandae hivyo inakupasa kupambana zaidi
 
Fag,pombe Nazi zinachangia,na mavyakula ya kisasa.
We huwaoni hats vijana kama kna mtatiro,tayari kidevu kimejaa mvi
 
Ni kweli wanaume wengi wanakuwa na mvi kwenye nywele ukilinganisha na wanawake.

Nadhani pia wanaume tunaongoza kutumia sabuni kichwani wakati wa kuoga tofauti na wanawake ambao huenda saloon Mara moja kwa wiki kuosha nywele. Kumbuka sabuni ni kemikali.

Nadhani jambo kubwa ni kukubali hali.
 
Karibu mcheki Kabila mtoto stylw yake. Wala usiwe na shaka, unaweza kupaka mavitu (wako wengi wako hivyo), au ukazikubali ukajenga brand yako na watu watakukubali. Mimi hazuja wahi kunipa shida hata mara moja na kwa kazi yangu naamini zina nipaisha kiasi ingawa sijui huko MMU na Chit-chat zinaweza kukubalika kiasi gani. La msingi ni wewe mwenyewe utazichukuliaje na utazitumiaje. Kwa kawaida zikianza zitatapakaa nakichwani pia.
 
Mkuu hua situmii kilevi chochote hata soda. Chakula changu kikuu ni ugali dagaa..
Sijui shida nini wakati mafuta hua sipaki
 
Ni kweli wanaume wengi wanakuwa na mvi kwenye nywele ukilinganisha na wanawake.

Nadhani pia wanaume tunaongoza kutumia sabuni kichwani wakati wa kuoga tofauti na wanawake ambao huenda saloon Mara moja kwa wiki kuosha nywele. Kumbuka sabuni ni kemikali.

Nadhani jambo kubwa ni kukubali hali.
Tatizo mvi zipo kwenye ndevu sijagundua kichwani kama zipo..
 
Karibu mcheki Kabila mtoto stylw yake. Wala usiwe na shaka, unaweza kupaka mavitu (wako wengi wako hivyo), au ukazikubali ukajenga brand yako na watu watakukubali. Mimi hazuja wahi kunipa shida hata mara moja na kwa kazi yangu naamini zina nipaisha kiasi ingawa sijui huko MMU na Chit-chat zinaweza kukubalika kiasi gani. La msingi ni wewe mwenyewe utazichukuliaje na utazitumiaje. Kwa kawaida zikianza zitatapakaa nakichwani pia.
Daaaah ngoja kama zitatapakaa nijikubari tu..
 
Back
Top Bottom