D
Sipendi pesa mie mvi tuSio hela tena
Mara nyingi mvi huwa zinaanzia kichwani. Jaribu kucheck japo kila binadamu yupo tofauti.Tatizo mvi zipo kwenye ndevu sijagundua kichwani kama zipo..
Kichwani kuna mtoto pia nilimuona ana mvi lakini kwenye ndevu imenishangaza. Black hua situmii kabisaVinci me toka age 8 najitambua nina mvi tu kichwani dawa yake Black mpaka sasa 25-30 napaka tu nikiona dalili!!.. Ila 32 naziachia
Kwani ni dhambi kivevu/kichwa chako kuwa na mvi? Alafu mvi zenyewe tatu tu!Hi Jf doctors
Nimeshtuka juzi hapa naona mvi 3 kwenye ndevu wakati ndevu zenyewe za mawazo.
Nimeuliza watu wanasema eti na dalaili ya kua na hela mingiii.
Haziwezi kuwa nyingi kidevuni?
Hazina madhara?
Nifanyaje zitoke na zisirud?
Umri 20-27
Mbona ni wengi tu zinaanzia kwenye ndevu. Zangu zilianzia huko.Kichwani kuna mtoto pia nilimuona ana mvi lakini kwenye ndevu imenishangaza. Black hua situmii kabisa
Una allergy nayo?..Kichwani kuna mtoto pia nilimuona ana mvi lakini kwenye ndevu imenishangaza. Black hua situmii kabisa
hahaKunakuchelewa kubalehe. Mulize vzri mama mzazi sio mlez kama mma hayupo elewa umri umeenda anza kufanya mambo yanayoendana na uwepo wa mvi
Wee Da'Vanci miaka 27 unajiona mdogo?[emoji15] [emoji15]Daa bado yanki sasa ndevu zenyewe za mawazo hazijajaa lakini zimetoka mvi..
Hataki uzee[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huo ndio mwanzo wa kukaribia zone ya uhenga. Be proud of it mzee baba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe msipofanya vitu vya maana humu duniani mnajidogolisha?Hahaaaa uhenga wenyewe wakati sijafanya kitu cha maana. Umri na mvi haviendani
HaahaaaUliza vizuri umri kutoka kwa wazaz pengine sio sahahi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kwani we hujui ukifikisha paap 18 tayari ni mtu mzima?Witi umri wangu una range 20-27 sijafika hiyo 27 yenyewe. Sidhani kama ni sahihi kutoka mvi kwa umri huu. Ni uchimvi tu