Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

Vinci me toka age 8 najitambua nina mvi tu kichwani dawa yake Black mpaka sasa 25-30 napaka tu nikiona dalili!!.. Ila 32 naziachia
 
Tatizo mvi zipo kwenye ndevu sijagundua kichwani kama zipo..
Mara nyingi mvi huwa zinaanzia kichwani. Jaribu kucheck japo kila binadamu yupo tofauti.

Kipindi cha nyuma kuna mdada you tube alisema ukinywa molasses kila siku inazuia mvi, ila sasa kule kwao marekani wana aina ya molasses inayouzwa super market.

Nadhani mvi huwa inasababishwa na luck of iron, kwa maana hiyo ukipata supplement ya iron itasaidia, lakini ikiwa nyingi Sana pia ni shida.

Kuna studies zimeonyesha ferrous sulphate inasaidia kuondoa mvi. Jaribu kucheck kwenye internet.
 
Vinci me toka age 8 najitambua nina mvi tu kichwani dawa yake Black mpaka sasa 25-30 napaka tu nikiona dalili!!.. Ila 32 naziachia
Kichwani kuna mtoto pia nilimuona ana mvi lakini kwenye ndevu imenishangaza. Black hua situmii kabisa
 
Hi Jf doctors
Nimeshtuka juzi hapa naona mvi 3 kwenye ndevu wakati ndevu zenyewe za mawazo.
Nimeuliza watu wanasema eti na dalaili ya kua na hela mingiii.
Haziwezi kuwa nyingi kidevuni?
Hazina madhara?
Nifanyaje zitoke na zisirud?
Umri 20-27
Kwani ni dhambi kivevu/kichwa chako kuwa na mvi? Alafu mvi zenyewe tatu tu!
Jikubali dogo. Kuota mvi ktk umri huo haikupunguzii chochote, ni wasi wasi wako tu.
 
Una allergy nayo?..
Hapana nywele zangu ni nyeusi tiii nenee hafu ndefu so nikiweka black nakuwa kama sijaweka kitu chochote hafu nywele hua nsona kama baadae zinapauka mpaka nipake tena
 
Chunguza.. Hasa huwa za ukoo.. Ukoo Wetu almost wote from Mzee tuko na hizo ndevu.
 
Witi umri wangu una range 20-27 sijafika hiyo 27 yenyewe. Sidhani kama ni sahihi kutoka mvi kwa umri huu. Ni uchimvi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kwani we hujui ukifikisha paap 18 tayari ni mtu mzima?

Sasa niambie una udogo gani?
 
JK.jpg


Cc: mtu chake
 
Back
Top Bottom