King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Miaka 27 kama mpira ni Mzee Veteran.Wee Da'Vanci miaka 27 unajiona mdogo?[emoji15] [emoji15]
Na uzee huwa unajua hautakiwa hivyo sign zake hujitokeza haraka kwa wale wanaoukataaHataki uzee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
kweli mkuu heri mvi utapaka black ila kipara dawa yake kipara tuAwamu hii ya 5....Vijana wengi umri wao mdogo ila wamekua sana Bora wewe una mvi jamaa angu ndo ana 30 Ila Kipara balaa sasa kila siku 4 Saloon
Una uhakika ni mzee wako?? Muulize vizuri bmkubwa, na uchunguze vyema hapo mtaani kwenu hakuna mzee ana midevu km ya mbowe??Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Kwetu hakuna mvi ki ivo hata mzee hana..
Fuatilia kwa dot utajua mengi..! Kama mchagga au mliwahi kuishi na karibu na mbowe omba achunguzwe..!Ndio. Ni baba'angu
Hahahah..! Au pia mzee Koffi Anani anaweza kuwa anahusika aisei.Hahaaaaaaaa sina undugu na mbowe wala luasa