Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

Natokwa na mvi kwenye ndevu bado mdogo

Your hair develops its color from melanocyte stem cells, which live inside the follicles. When your old hair falls out, the stem cells add melanocytes to new follicles — giving your hair its color. When the cells stop working, the follicles no longer develop pigment
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kwani we hujui ukifikisha paap 18 tayari ni mtu mzima?

Sasa niambie una udogo gani?
Mm bado mdogo bana sijui mema wala mabaya. Hadi nifike 28
 
Na 25
IMG-20170121-WA0000.jpg
 
Awamu hii ya 5....Vijana wengi umri wao mdogo ila wamekua sana Bora wewe una mvi jamaa angu ndo ana 30 Ila Kipara balaa sasa kila siku 4 Saloon
 
Awamu hii ya 5....Vijana wengi umri wao mdogo ila wamekua sana Bora wewe una mvi jamaa angu ndo ana 30 Ila Kipara balaa sasa kila siku 4 Saloon
kweli mkuu heri mvi utapaka black ila kipara dawa yake kipara tu
 
Back
Top Bottom