Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda una vina saba na mboweHi Jf doctors
Nimeshtuka juzi hapa naona mvi 3 kwenye ndevu wakati ndevu zenyewe za mawazo.
Nimeuliza watu wanasema eti na dalaili ya kua na hela mingiii.
Haziwezi kuwa nyingi kidevuni?
Hazina madhara?
Nifanyaje zitoke na zisirud?
Umri 20-27
Huwezi zizuia labda uwe unanyoa kila baada ya siku 3 ili zisionekane au upake dawaNoo mkuu niko siriaz kwa hili linanitesa. Toa ushauri wa kujenga.
Pole ila usihofu sio wewe tuu siku hizi nadhani majira yamebadilika vijana wanaota mvi bado wadogo tuuDaa bado yanki sasa ndevu zenyewe za mawazo hazijajaa lakini zimetoka mvi..
Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Kwetu hakuna mvi ki ivo hata mzee hana..Mara nyingi ulaji wa karoti kwa wingi huondoa tatizo la kuota mvi mapema.
Ndio maana Wachina wanasifika kwa kutokuwa na mvi za haraka japo wanakuwa wazee kwa sababu ya kula karoti kwa wingi.
Sijajua kwa ndevu inakuwaje, kama ni mvi za kawaida kama za kichwani, ila mara nyingi kuna mvi za urithi(za ukoo), ambazo zinatokana na genetics tu.
Jaribu kuchunguza ukoo wenu hususani mababa na wajomba, kama wanazo hasa kwenye ndevu basi zitakuwa za ukoo hizo ambazo hazinaga dawa zaidi ya kuzinyoa.
Lakini kama ni za kawaida basi tumia karoti kwa wingi.
Cheki pia ukoo wa mama, maana huko nako huwa kuna kuchukua vinasaba.Ahsante sana kwa ushauri mkuu. Kwetu hakuna mvi ki ivo hata mzee hana..
Basi seli za nywele zimekufa mapema!!!Kwakweli nami nashangaa watu imani zao..
Bado mkuu umri haujafika mbali niko early 20
Aisee wanaume wadar wanamambo yakustaajabisha mnoNoo mkuu niko siriaz kwa hili linanitesa. Toa ushauri wa kujenga.