Mimi naomba ushauri wa hili tatizo mimi nikifanya mapenzi na mke wangu huwa napatwa na vishilingi kwenye sehemu za siri japo sijui kama nimetumia lugha sahihi .
Sasa sijui tatizo ni nini nisipofanya sipatwi na hiyo hali yeye huwa hapatwi na hilo tatizo wataalamu msaada wenu tafadhali maana nawashwa sana.