Natokwa na 'vishilingi' nikifanya mapenzi, nini tatizo?

Natokwa na 'vishilingi' nikifanya mapenzi, nini tatizo?

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
Mimi naomba ushauri wa hili tatizo mimi nikifanya mapenzi na mke wangu huwa napatwa na vishilingi kwenye sehemu za siri japo sijui kama nimetumia lugha sahihi .

Sasa sijui tatizo ni nini nisipofanya sipatwi na hiyo hali yeye huwa hapatwi na hilo tatizo wataalamu msaada wenu tafadhali maana nawashwa sana.
 
Ninaamini hujaeleweka mkuu hebu weka nyama kidogo. Hivyo vishilingi vinakua kama majipu au malengelenge na je ukilala nae mfano saa 3 usiku vinatokea saa ngapi?

Nadhani bado kuna mengi hujasema ila kama ni kweli inaweza kuwa ushirikina wenyewe wanasema jini mahaba ambalo halitaki mahusiano yenu.

Ila pia yaweza kuwa fungus wa kawaida wapo kwa mkeo so ukipga mzigo unawabeba
 
huo utakuwa ugonjwa, nenda na Klein mkapime magonjwa ya zinaa...
 
Back
Top Bottom