miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
[emoji23]Hahahaha bakukwata amala
hello.guys naomben ushaur nna tatzo gan kwasabab idadi ya wanawake wanaontongoza ni kubwa kulko wanawake nliowatongoza mimi!!
Mama wa Fursa.... Hii speed ya kubadilisha Avatar imekuwa kubwa kuliko..... Duuuh!. Umeshabadilisha kama mara tatu hivi kwa siku mbili.ila itakua hautongozwi humu jf
mzee wa fursa acha tu kila nikiweka naambiwa mbaya mara nirudishe iliyopoMama wa Fursa.... Hii speed ya kubadilisha Avatar imekuwa kubwa kuliko..... Duuuh!. Umeshabadilisha kama mara tatu hivi kwa siku mbili.
[emoji22] [emoji22] [emoji22] [emoji22]una nyota ya ukimwi mkuu
Kwani hiyo ni wewe?!mzee wa fursa acha tu kila nikiweka naambiwa mbaya mara nirudishe iliyopo
hii niliyoweka ndio ya mwisho siitoi
Ndivyo ilivyo siku zote tena siku zinavyozidi kuenda ndio yanaongezekaAiseeeee......
Wonder shall never end
Hahaa!ila itakua hautongozwi humu jf
Labda huenda ikawa ndio nia yake.Sasa unataka utongozwe na wanaume!?
Labda huenda ikawa ndio nia yake.
Hahahaa! Haiaminiki hata kidogo aiseeHuwezi jua emmyta maana hii dunia yetu ya leo mhhh!
Nzuri tu Mkorea wetu!Habari za Bukoooba.