Natongozwa sana na wanawake

Natongozwa sana na wanawake

Mkuu sasa ushauri upi tena au
Unataka uwe unatongozwa na vidume??
 
hello.guys naomben ushaur nna tatzo gan kwasabab idadi ya wanawake wanaontongoza ni kubwa kulko wanawake nliowatongoza mimi!!
bee7d8ea45abe0533a0757ded9a02a51.jpg
 
Mama wa Fursa.... Hii speed ya kubadilisha Avatar imekuwa kubwa kuliko..... Duuuh!. Umeshabadilisha kama mara tatu hivi kwa siku mbili.
mzee wa fursa acha tu kila nikiweka naambiwa mbaya mara nirudishe iliyopo

hii niliyoweka ndio ya mwisho siitoi
 
Endelea kushindana nao hadi idadi ya unaowatongoza ipite idadi ya wanaokutongoza mkuu!
 
sasa cha ajabu nini,,au unataka utongozwe na wanaume?
 
una nyota ya mfupa wewe kwahiyo mafisi ndio jamaa zako
 
Back
Top Bottom