Natregen- dawa ya vidonda vya tumbo

Me ni moja ya wathirika wakubwa was v 2mbo nime2mia hii dawa Hanna lolote kichupa cha robo Lita 5000 asubui name join +90siku so dawa ni
 
Mkuu ,hapa swali likiulizwa hakika huwakilisha wengi ndio maana hutokea uchangizi kwenye thread,kwa faida ya wengi tupe huo msaada wagonjwa tumejaa na tunaibiwa sana huko mitaani!
 
Chupa yenyewe 5L!!!!
5Lx180=900L.

Sasa hawa jamaa si waongeze concetration ya active ingredients kwenye dawa yao ili kupunguza hizo litre..

Hii siyo dose kwakweli: kunywa lita kumi ya dawa kwa siku!!
No ni kichupa cha mls mia moja; kwa hiyo siku moja mils 200 lkn hata hivyo wangetengeneza concentration ya kuifanya dozi iwe ya siku saba au wiki mbili ingekuwa poa sana ila nadhani wapo kibiashara zaidi
 
Kama haupigi promo basi kaa tiyari kwa dozi ya aina yake. chupa 50

mi nilimpeleka mgonjwa akapimwa akaambiwa ana vidonda vya tumbo.dozi yao sio chupa 50 bali ni 120.chupa 2 kila cku kwa muda wa miezi mmoja.kisha chupa moja kila siku kwa miezi miwili.jumla zinakuwa chupa 120 bei ya kila chupa ni sh 5000.hivyo dozi nzima ni tsh 600,000/=
 
Hii dawa ipo na ndugu yangu kashapona,alitumia 480,000/= tu sijajua kwa sasa.Hana tena vidonda vya tumbo nakuambieni,ila yataka moyo sana ni dozi ndefu.
 
anaehitaji dawa ya vidonda vya tumbo anipm 25,000/- tuu unapona kabisaa naunasahau mateso hayo
 

Ss alipona mkuu ili nami nijaribu?
 
Bora uende kwa Dr.Rahabu, nilimuona makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar asema amepona vidonda vya tumbo kwa huyo mama. Na pia aliongeza eti hata mke wake na mtoto wake pia wamepona kwa huyo mama. Ilikuwa ni katika Chanel ten kama mwezi hivi tu umepita. Sina la zaidi ya taarifa hizi wakuu.
 
natrejen nami nimetumia hamna kitu nimeliwa zaidi ya lak tano hakuna hata nafuu. Nimekuja kupata nafuu kwa dawa ya kawaida tu kuoka kwa bwana mmoja tena bei ndogo
 
Yeyote anayesumbuliwa na vidonda vya tumbo ni pm nikupe mawasiliano upate matibabu for only 1 week you are done. Nimetibiqa mimi na watu watatu wa karibu yangu.
 
natrejen nami nimetumia hamna kitu nimeliwa zaidi ya lak tano hakuna hata nafuu. Nimekuja kupata nafuu kwa dawa ya kawaida tu kuoka kwa bwana mmoja tena bei ndogo

Ndugu mm pia ninatatizo hilohilo..
Kwani hiyo dose ulianza kutumia lini maana naona km ulitoa maada lkn now unadhibitisha ufeki wa da apa nilikuwa na plani niitafute iyo dawa..
Tafadhari msaada wa mawazo
 
nlitoa hiyo mada then baada ya kama wiki nkaenda kutafta hiyo dawa na kuanza kutumia. Ukiangalia hii post ina zaidi ya miezi 3 hapa. Nilipewa rundo la vichupa nkanywa lakin wapi. Nilipewa dozi ya miezi 2 na nusu na iliisha sikuona hata dalili za kupona. Labda yategemea mtu na mtu maana wengne wanadai wamepona
 
Nimeksoma vizuri ndugu..
Duh! Km mm hili tatizo ni tangu january 2003 saa nami nikijaribu sijui ntarudi na story gani apa jf , vikinizidi ntajaribu haina jinsi..
Lkn pia ulisema ulipata nafuu kwa njia ingine isiyo gharama.
Msaada tafadhari.
Asubuhi njema
 
Dawa zipo mwilin mwako kama alvyokuisha sema mdau hz za chupa 50 achana nazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…