Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ,hapa swali likiulizwa hakika huwakilisha wengi ndio maana hutokea uchangizi kwenye thread,kwa faida ya wengi tupe huo msaada wagonjwa tumejaa na tunaibiwa sana huko mitaani!Kuna jamaa alikuwa na hili tatizo kulee jukwaa la JF DOCTOR nikamuuliza upo wapi nikusaidie dawa akakaa kimya. Tatizo JF members wanaangalia Join date,kujuana na kudharauniana. Ushauri wangu: Hizo dawa achana nazo hakuna tiba hapo utamaliza hela na hautapona. Swali unahitaji msaada wangu?
dawa za hospitali hutaki?.
No ni kichupa cha mls mia moja; kwa hiyo siku moja mils 200 lkn hata hivyo wangetengeneza concentration ya kuifanya dozi iwe ya siku saba au wiki mbili ingekuwa poa sana ila nadhani wapo kibiashara zaidiChupa yenyewe 5L!!!!
5Lx180=900L.
Sasa hawa jamaa si waongeze concetration ya active ingredients kwenye dawa yao ili kupunguza hizo litre..
Hii siyo dose kwakweli: kunywa lita kumi ya dawa kwa siku!!
Kama haupigi promo basi kaa tiyari kwa dozi ya aina yake. chupa 50
mi nilimpeleka mgonjwa akapimwa akaambiwa ana vidonda vya tumbo.dozi yao sio chupa 50 bali ni 120.chupa 2 kila cku kwa muda wa miezi mmoja.kisha chupa moja kila siku kwa miezi miwili.jumla zinakuwa chupa 120 bei ya kila chupa ni sh 5000.hivyo dozi nzima ni tsh 600,000/=
zipo za hospital znazotibu?
anaehitaji dawa ya vidonda vya tumbo anipm 25,000/- tuu unapona kabisaa naunasahau mateso hayo
mhhh,hiyo id yako mbona haifananii na mtabibu?anaehitaji dawa ya vidonda vya tumbo anipm 25,000/- tuu unapona kabisaa naunasahau mateso hayo
Ahahaaa,kupm ni kumchoma vidole vya makalioni.uko wapi? kupm ndio kufanya nn?
natrejen nami nimetumia hamna kitu nimeliwa zaidi ya lak tano hakuna hata nafuu. Nimekuja kupata nafuu kwa dawa ya kawaida tu kuoka kwa bwana mmoja tena bei ndogo
Nimeksoma vizuri ndugu..nlitoa hiyo mada then baada ya kama wiki nkaenda kutafta hiyo dawa na kuanza kutumia. Ukiangalia hii post ina zaidi ya miezi 3 hapa. Nilipewa rundo la vichupa nkanywa lakin wapi. Nilipewa dozi ya miezi 2 na nusu na iliisha sikuona hata dalili za kupona. Labda yategemea mtu na mtu maana wengne wanadai wamepona
Dawa zipo mwilin mwako kama alvyokuisha sema mdau hz za chupa 50 achana nazo