Natregen- dawa ya vidonda vya tumbo

Natregen- dawa ya vidonda vya tumbo

Nawashauri mtumie juice ya carrot haina gharama .Saga juice ya carrot kunywa grass moja asubuhi na nyingine usiku. Juice hiyo inawahi kuchacha me nilikuwa nasaga asubuhi na jioni. Me nimepona kwa kunywa hiyo juice ya carrot namshukuru Mungu.
 
Nawashauri mtumie juice ya carrot haina gharama .Saga juice ya carrot kunywa grass moja asubuhi na nyingine usiku. Me nimepona kwa kunywa hiyo juice ya carrot namshukuru Mungu.

Mkuu ulikuwa unasaga karrot ngapi kwa grasi ya asubuhi na ngapi ile ya usiku?
Msaada tafadhari mkuu.
Asubuhi njema.
 
Nimeksoma vizuri ndugu..
Duh! Km mm hili tatizo ni tangu january 2003 saa nami nikijaribu sijui ntarudi na story gani apa jf , vikinizidi ntajaribu haina jinsi..
Lkn pia ulisema ulipata nafuu kwa njia ingine isiyo gharama.
Msaada tafadhari.
Asubuhi njema

yeah ntaku pm kwa maelezo zaid
 
Back
Top Bottom