Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Wadau naomba mwenye uzoefu na dawa hii anipe uzoefu nataka kuichukua maana napata taabu sana. Hawa watu wanajiita herboworx wanajitangaza RFA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haupigi promo basi kaa tiyari kwa dozi ya aina yake. chupa 50
Kama haupigi promo basi kaa tiyari kwa dozi ya aina yake. chupa 50
Kama haupigi promo basi kaa tiyari kwa dozi ya aina yake. chupa 50
Tiba unayo mwilini mwako,yanini upoteze hela nyingi? fanya urine thelapy na jiepushe na vyakula vinavyochochea maradhi hayo.
Chupa 50 !!! kila moja shilingi ngapi ? Fafanua zaidi, maana inaweza kuwa kila moja ni shilingi 100/=
Kuna jamaa alikuwa na hili tatizo kulee jukwaa la JF DOCTOR nikamuuliza upo wapi nikusaidie dawa akakaa kimya. Tatizo JF members wanaangalia Join date,kujuana na kudharauniana. Ushauri wangu: Hizo dawa achana nazo hakuna tiba hapo utamaliza hela na hautapona. Swali unahitaji msaada wangu?
Mpaka mtu kuanzisha thread hapa anahitaji msaada huyo. We msaidie tu sio lazima mpka umuulize hilo swali.
Chupa 50 !!! kila moja shilingi ngapi ? Fafanua zaidi, maana inaweza kuwa kila moja ni shilingi 100/=
Dozi siku 90 sawa na chupa 180 kila moja buku 5; unakunywa moja asubuhi na moja jioni hapo dozi itakugharimu 900,000/= yani tiba hizi zinazoitwa mu badala ni balaa watu wanatajirika na matokeo ni hakuna.kuna mtu kanitonya kuwa kila chupa ni elf 5
Dozi siku 90 sawa na chupa 180 kila moja buku 5; unakunywa moja asubuhi na moja jioni hapo dozi itakugharimu 900,000/= yani tiba hizi zinazoitwa mu badala ni balaa watu wanatajirika na matokeo ni hakuna.
nahitaji aisee ndo maana nikaja hapa mkuu
Uko wapi? Mi nipo Mwanza mjini
Wizi mtupu. wajanja wanachohakikisha kuwa hayo majuice sio sumu na wanaweka doze ya muda mrefu ili usistuke mapema na kama hujapona wanakuambia either hujamaliza doze au umekosea doze hivyo uanze tena. Kifupi ukishaugua hapa bongo unakuwa kitega uchumi cha matapeli. Hata hawa wanaokubali matangazo ya kitapeli yapeperushwe kwenye vyombo vyao vya habari kisa ni hela ya matangazo nao wataungana pamoja na hao matapeli siku ya mwisho kujibu shtaka mbele ya Mungu.
Unakuta hakuna uchunguzi wowote wa kitabibu uliokubalika na serikali kuwa dawa husika inatibu tofauti na kibali cha TFDA kuwa dawa hiyo sio sumu lakini watu hao wanaruhusiwa kuendelea kuwadanganya watanzania kwa kusoma sign and synrome za magonjwa na kuzieleza ili kutisha wagonjwa kuwa wana uwezo wa kutibu. Mungu ibariki Tanzania
Kuna jamaa alikuwa na hili tatizo kulee jukwaa la JF DOCTOR nikamuuliza upo wapi nikusaidie dawa akakaa kimya. Tatizo JF members wanaangalia Join date,kujuana na kudharauniana. Ushauri wangu: Hizo dawa achana nazo hakuna tiba hapo utamaliza hela na hautapona. Swali unahitaji msaada wangu?
dawa za hospitali hutaki?.Wadau naomba mwenye uzoefu na dawa hii anipe uzoefu nataka kuichukua maana napata taabu sana. Hawa watu wanajiita herboworx wanajitangaza RFA.