Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Rubbish.🗑️
 
Unafact gani kusema yule ni tapeli?
Kalipa watu tsh 50 ku-act mlichokiona...

Dini ni biashara kama biashara nyingine!

Sometimes, wanaandaliwa miezi kadhaa ya nyuma, wanakuja walemavu au wagonjwa wanaishi nanyi then anakuja kwa mkutano na kujifanya kuwaponya. Baada ya mkutano hamuwaoni tena.

Siri ya vita ni wale walinzi wake, wengi husambazwa ktkt ya kusanyiko ili kudhibiti wachunguzi kama sisi...ile ni biashara haramu kama nyingine, lazima ilindwe

Ref: Mfalme Zumaridi
 
Tupe sababu 5 za kusema anafanya utapeli.

#MaendeleoHayanaChama
Mkuu hilo ni swala la imani so hata kama nikikupa sababu mia bado huwezi nielewa kwani imani yako iko kwake kama ambavyo imani yangu haiko kwake
 
Hao wamelipwa kuigiza ndugu, ukitaka kujua ni kweli mchukue mlemavu unaemfahamu uone kama atapona
Bas mwamposa atakua na hela sana,maana kila siku watu wanashuhudia wamepona ..kumbe huwa anawalipa halafu hamsemi jamani...nyie watu ni wasiri sana
 
Anaendaje Songea wakat kuna walemavu kibao pale k koo,angeanz na wale
Ili upone lazima uamini,hao wa kkoo wanaamini kuwa watapona kwa jina la Yesu?..nikushaur kakusanye hao wa kkoo wafundishe kuamin halafu wapeleke kwenye maombez nao watapona..usijichoshe kumkebehi mtu ambaye Mungu anamtumia kama chombo kuponya watu.
 
Kwa mganga mnatoa sadaka adi hela ya mwisho ya akiba ila hamlalamiki[emoji23]kwahyo ni halali mganga kudai sadaka ila mtumishi wa Mungu hatakiwi kudai sadaka[emoji23][emoji23]...mganga akisema lete damu lita 100,mtu unatengeneza ajali kuzoa damu umpelekee mganga..ila kumtolea Mungu umekuj kukemea hapa tena huku ume bold kabisa...ivi huoni aibu[emoji19]
 
Ili upone lazima uamini,hao wa kkoo wanaamini kuwa watapona kwa jina la Yesu?..nikushaur kakusanye hao wa kkoo wafundishe kuamin halafu wapeleke kwenye maombez nao watapona..usijichoshe kumkebehi mtu ambaye Mungu anamtumia kama chombo kuponya watu.
Wanakosaje imani.? Kwahy wanafurahia hali zao.? Yn mtu n mlemavu afu akose imani kuwa anaweza kupona aisee.!
 
Bas mwamposa atakua na hela sana,maana kila siku watu wanashuhudia wamepona ..kumbe huwa anawalipa halafu hamsemi jamani...nyie watu ni wasiri sana
Wajua kwa siku anaingiza kiasi gani?
 
Nadhani hapa wewe umekaza fuvu yani hutaki kabisa kusikia vitu tofauti na ulivyomezeshwa.

Kwahiyo ni kosa kutumia mafuta siku zote kuponya..mbona anatumia maji..mbona anatumia keki za upako hayo mbona usemi.

Bado anaombe na watu wanapona bila hivyo vitu acha kukariri.

Kuhusu kuuziwa hivi unajua gharama za kuendesha ministry au unaongea tu..huyo mwamposa anafamilia inamahitaji hana kazi zaidi hiyo ulitaka ale nyasi..pia kumbuka uendeshaji wa ministry unamahitaji mengi..usafirishaji..ununuzi wa mitambo..marekebisho..usafi..bills kama maji umeme na mengine mengi.

Ulizani hayo mahitaji yatajilipa yenyewe..ebu tumia akili na acha kukaza fuvu..vitu vingine ni simpo logic tu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Unaweza thibitisha kwamba alienda nigeria kununua huo uchawi??wabongo ndio mana ujinga hautishi yani kitu huna proof stori za mtaani ndio umeshikilia bango ukiambiwa leta ushahidi huna unabaki kukodoa mi macho..get a job na uache wivu wa kike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Endelea na hearsays ndio ulivyokaririshwa.

Tupe ushahidi wa mwamposa kwenda naijeria.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acheni figisu na uongo. Ninyi hamna tofauti na matapeli wake na Kalynda, kazi kudanganya watu. Huyo Mwamposa anajiita mtu wa Mungu huku amejaa uongo na utapeli.
Utapeli gani na uogo gani..wewe ambaye sio tapeli na muongo umewapa msaada gani hao wahitaji na wagonjwa ili wasiende kwa muongo na tapeli..acha wivu wa kike.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hao manabii na mitume unao waamini walisomea chuo gani wakapata digrii ya thiologia? ?

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…