Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Acheni ujinga ,maskini na wajinga ni mitaji mizuri sana hapa duniani ,when they are desperate they take and believe anything , aende moi na ocean road akasaidie kuponyesha watu
Mkuu mgonjwa ndio anamfata mganga.
 
Ujinga ulionao wewe kwa njaanjaa zako usiwaambukize wengine,kama kweli huyo bwanako mwamposa ana uwezo wa kuponya wagonjwa basi aende hospitalini ambako wagonjwa wamejaa tele akiweza hilo basi utakuwa sahihi
Mkuu usipaniki, wagonjwa wamfate mwamposa, CASE CLOSED.
 
Back
Top Bottom