Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Natubu: Nilikuwa simuelewi Mwamposa, ila kwa idadi ya viwete walioponyeshwa Songea naanza kumuamini

Kama anakusanya mamilioni ya wajinga kila siku unadhani atashindwa kuwapanga na kuwalipa hao?Hao akiamua kuwalipa hata laki 5 inatosha kwa siku huku yeye akikusanya milioni kadhaa ana hasara gani.
Inaonekana wewe ni mgeni wa michezo Chekundu ndio maana unashindwa kung'amua mitego yao.
 
.....
IMG-20240621-WA0003.jpg
 
Kama kichwa cha habari hapo juu, ujio wa Mwamposa, Songea ni neema.

Umeleta uponyaji mkubwa sana, vilema wanatembea, vipofu wanaona, hiyo haina kupinga.

Mimi nilikuwa simuamini lakini kwasasa naanza kumuamini.

View attachment 2387081
Viwete na vilema wamejaa tele pale Kariakoo mtaa wa Congo wanaendesha Bajaji kutoka mtaa wa Congo kwenda Posta na Ferry. Acha ujinga unaoletwa na MADHEHEBU bandia. Fanya kazi kwa bidii na kulipa kodi ujenge familia yako na nchi yetu.
 
Hah
 
Back
Top Bottom