Unamaanisha mimi ningekuwa wa pili? Useless kabisa wewe mke ni ndugu yako?Kumweka espy wa pili kwenye huo mtiririko wako wa salam ni kumkosea adabu![emoji4][emoji4][emoji4]
Amin zimetufikiaSalam zangu za kipekee ziwaendee wote wenye roho nzuri na upendo.ujumbe msichoke kutenda wema na kujali wenzenu japo binaadamu hawabebeki kama gunia la mbigiri.
Salam zangu za pili ziwaendee wale wote wenye roho mbaya,chuki na vijiba,ujumbe mtabana sana lakini tutatoboa tu kwa uwezo wa jalali.
Salam za tatu ziwafikie wale wote mnaonidai,ujumbe tutafutane kuanzia mwezi ujao watu wa mungu,huu mwezi mgumu kwa wote,tustahamiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
mwezi wa kwanza jifunge mkanda ukishindwa jifunge hata kitanziSalam zangu za kipekee ziwaendee wote wenye roho nzuri na upendo.ujumbe msichoke kutenda wema na kujali wenzenu japo binaadamu hawabebeki kama gunia la mbigiri.
Salam zangu za pili ziwaendee wale wote wenye roho mbaya,chuki na vijiba,ujumbe mtabana sana lakini tutatoboa tu kwa uwezo wa jalali.
Salam za tatu ziwafikie wale wote mnaonidai,ujumbe tutafutane kuanzia mwezi ujao watu wa mungu,huu mwezi mgumu kwa wote,tustahamiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
NakujaWatu weweee asante my kaka ndio niko napika pilau hapa we ukuje tu yaani na wewe unasubiria mwaliko jamani...mbona wewe kuja kula sikukuu kwetu ni haki na wajibu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka espy akaniroge eehyaani naona hadi aibu navyokwambia
wewe salamu zitakuja pm tuone leo tutaanzia wapi kisha tutaishia wapi
oohh pa kuishia ni home tupange pa kuanzia tu
miss chagga dahhSalamu zangu nazituma kwa wake wenzangu espy Thad Neybright miss chagga ladyfurahia Mzigua90
Ujumbe, mwaka 2019 sitaki kushea na mtu
Siwezi kuwasahau wakorea wenzangu Damushin Nifah @animas EMPTY na wengine hebu piteni na huku kidogo
Happy New Year nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kabisa kaka mimi mkorea imebaki tu kupanda ndege niendemiss chagga dahh
kumbe una vina saba vya korea sister basi mimi ni muitaliano pure
Ewaaaaa. Basi uje pm tuweke mipango sawaakuroge ili iweje
kwanza nyie watanga hamrogeki kwenu
nyumba mganga nyumba sheikh tanga nzima
Nashukuru kwa salamu ila ujumbe wa mwaka huu ni kwamba wale tunaoshea nitazidisha mapenzi mpaka nibaki peke yanguSalamu zangu nazituma kwa wake wenzangu espy Thad Neybright miss chagga ladyfurahia Mzigua90
Ujumbe, mwaka 2019 sitaki kushea na mtu
Siwezi kuwasahau wakorea wenzangu Damushin Nifah @animas EMPTY na wengine hebu piteni na huku kidogo
Happy New Year nawapenda sana
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo ushaanza kuwa na macho madogo