Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Salam zangu za kipekee ziwaendee wote wenye roho nzuri na upendo.ujumbe msichoke kutenda wema na kujali wenzenu japo binaadamu hawabebeki kama gunia la mbigiri.

Salam zangu za pili ziwaendee wale wote wenye roho mbaya,chuki na vijiba,ujumbe mtabana sana lakini tutatoboa tu kwa uwezo wa jalali.

Salam za tatu ziwafikie wale wote mnaonidai,ujumbe tutafutane kuanzia mwezi ujao watu wa mungu,huu mwezi mgumu kwa wote,tustahamiliane.

Sent using Jamii Forums mobile app
Amin zimetufikia

mwezi wa kwanza jifunge mkanda ukishindwa jifunge hata kitanzi
 
Back
Top Bottom