Natuma salam na wewe njoo utume zako

Anko asante [emoji8][emoji8][emoji8] na kwako pia unajua vile nakupenda sasa anko kazi gani hiyo ambayo uliiona lakini, kuwahi kulala nitajitahidi anko wangu nikue zaidi ya hapa napendaga vile unanifukuza niwahi kulala tu anko na mpwae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Salam zangu kwa wana jf wote muwe na mwaka wenye mafanikio tele.
 
Hahahahhaha
 
..
Heri ya mwaka mpya shem.

Ninacho kiomba mwaka huu ni kwamba ushemeji wetu ukue uzidi kukua. Ikiwezekana uende next level.

Hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaha rtd bazazi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Salamu zangu za dhati kabisaaaa zimuendee muumba wangu aliye juu namwambia ahsante sana kwa kunipa nafasi nyingine na namuahidi sitachoka kumtumikia. NAMPENDA SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…