Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
AmenSalamu zangu za dhati ziende kwa wanaJamii forums wote popote walipo
Ujumbe
Tuzidi kupashana habari zilizo na ukweli na uhakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AmenSalamu zangu za dhati ziende kwa wanaJamii forums wote popote walipo
Ujumbe
Tuzidi kupashana habari zilizo na ukweli na uhakika
Hapana, unafanya antagonistic move sasa... Be Me, I, My self[emoji12]
[emoji39][emoji39][emoji39]Sawa kiben10.
Heri ya mwaka mpya shem.Sawa kiben10.
Anko asante [emoji8][emoji8][emoji8] na kwako pia unajua vile nakupenda sasa anko kazi gani hiyo ambayo uliiona lakini, kuwahi kulala nitajitahidi anko wangu nikue zaidi ya hapa napendaga vile unanifukuza niwahi kulala tu anko na mpwae [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Heri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote
salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe
ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani
salam zangu za pili ziende kwa espy ujumbe we nidanganye tu kama utanipenda maana sitaki kuambiwa ukweli
salam zangu za tatu zikufuate Thad ujumbe wewe tupange tu hata tukiwa kumi mimi sijalii sina habari leo nitakula wali na kachumbari
salam zangu za nne ziende kwa Mafikizolo we nilikwambia kama utanipenda vyote vilivyobaki nitacover
asilimia sabini ya mwili wangu umejaa maji asilimia 30 nakupenda wewe
salam zangu za tano ziende kwa Madame B ujumbe dodoma ukumbuke kinga kama mimi navyozikumbuka
salam zangu za sita ziende kwa Sweet16 ujumbe hata kwa pm nikumbuke japo najua namba yangu umefuta na ukaiblock
salam zangu za saba ziende kwa Sky Eclat ujumbe eti kisa babu
salam zangu za nane ziende kwa anayejiita Daby ahsante kwa kunifitinisha na dadaako poa poa tu
salam za tisa ziende kwa Evelyn Salt ujumbe we unajua deep and down kwamba nilijiunga ili nikupate ww
salamu zangu za kumi ziende kwa mpwa wangu Shunie ujumbe kazi yako niliiona na naikumbuka upo kama pele ujumbe uwe unawahi kulala ukue
salam zangu za kumi na moja ziende kwako ww
ujumbe tusiogope kufa mwaka huu kwani kufa kama kulala tu na makaburi kama matuta
Sema kweli mama house boy
Salam zangu za kipekee ziwaendee wote wenye roho nzuri na upendo.ujumbe msichoke kutenda wema na kujali wenzenu japo binaadamu hawabebeki kama gunia la mbigiri.
Salam zangu za pili ziwaendee wale wote wenye roho mbaya,chuki na vijiba,ujumbe mtabana sana lakini tutatoboa tu kwa uwezo wa jalali.
Salam za tatu ziwafikie wale wote mnaonidai,ujumbe tutafutane kuanzia mwezi ujao watu wa mungu,huu mwezi mgumu kwa wote,tustahamiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
Salamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
Heri ya mwaka mpya shem.
Ninacho kiomba mwaka huu ni kwamba ushemeji wetu ukue uzidi kukua. Ikiwezekana uende next level.
Hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks soo machii....Salamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
Heri ya mwaka mpya shem.
Ninacho kiomba mwaka huu ni kwamba ushemeji wetu ukue uzidi kukua. Ikiwezekana uende next level.
Hahah
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukuyeee da shem... nimekuandalia kitu flani hivi...!Amen shemeji. Baadae nakuja
Happy new year. ShunieAiseee sisi wengine tena tumekuwa weusi woiiii
Asante darling. Mwaka ukatujaze mahela huuSalamu zangu za pekee ziwaendee wafuatao.,
Avatar mok
Kaka shemeji sumbai.
General Mangi
Relief Mirzska
Kiben10 changu 4G LTE
Mama la mama cute b
Swahiba Viatu vya Samaki
Muunga Juhudi
My friend Cole Williams
Manga ML
Da'Vinci
Shunie
Maserati
Mzigua90
Ujumbe, Mwaka huu ukawe wa mafanikio kwenu.
Hahahahahaha rtd bazazi.espy mkao uliokaa tukampata Douta naomba tuutumie 2019.
Heaven Sent Unajua vile nakupenda.
gorgeousmimi Missing you rafiki
Khantwe Udangaji wako ndo uwa unanipa hasira zaidi ya kupambana..Usiache
Valentina Jirani..Hatujauaga mwaka 2018 wala kuukaribisha 2019..Tusiwe wazembe kiasi hicho
Mzigua90 Japo foleni imekuwa kubwa ila unajua penyewe tumetoka.
Evelyn Salt Zawadi uliyoniahidi kunipatia ukimaliza form4 hadi leo kimya mpendwa..Sijui unajifelisha usimalize
BADILI TABIA 2019 usijifiche sana mpendwa..Hata kwenye kwaya sikuoni
Roger Sterling Heri ya mwaka mpya bro
cute b 2019 isipite bila ndoa..Ikibidi mtolee jamaa mahari umuoe kama anazingua..cc sumbai
Kwa njia yoyote ile [emoji13].