Natuma salam na wewe njoo utume zako

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwaache na kivuli changu nampenda hivyohivyo mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo anayefichwa hivyooo daaah!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Niwaache we dada nampenda mm jamani hivyohivyo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo anayefichwa hivyooo daaah!!
 


😂😂😂jumbe nzito hii
 
Asante kwa salamu zako na kunipa ujumbe.
Huku Dodoma ni bata kuanzia juzi, jana na leo.
Na Usijali kuhusu kinga....nami nakumbuka


Ujumbe:
Nakupa siku 3 uje...usipokuja utakuta msaidizi wako kahamia kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…