MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,057
- 39,387
Heri ya mwaka mpya wana jamii watu wa maana na mitakataka yote
salam zangu za kwanza ziende kwa dada yangu Khantwe
ujumbe hata kama hujanialika mimi nitakula tu ubwabwa kwa jirani
salam zangu za pili ziende kwa espy ujumbe we nidanganye tu kama utanipenda maana sitaki kuambiwa ukweli
salam zangu za tatu zikufuate Thad ujumbe wewe tupange tu hata tukiwa kumi mimi sijalii sina habari leo nitakula wali na kachumbari
salam zangu za nne ziende kwa Mafikizolo we nilikwambia kama utanipenda vyote vilivyobaki nitacover
asilimia sabini ya mwili wangu umejaa maji asilimia 30 nakupenda wewe
salam zangu za tano ziende kwa Madame B ujumbe dodoma ukumbuke kinga kama mimi navyozikumbuka
salam zangu za sita ziende kwa Sweet16 ujumbe hata kwa pm nikumbuke japo najua namba yangu umefuta na ukaiblock
salam zangu za saba ziende kwa Sky Eclat ujumbe eti kisa babu
salam zangu za nane ziende kwa anayejiita Daby ahsante kwa kunifitinisha na dadaako poa poa tu
salam za tisa ziende kwa Evelyn Salt ujumbe we unajua deep and down kwamba nilijiunga ili nikupate ww
salamu zangu za kumi ziende kwa mpwa wangu Shunie ujumbe kazi yako niliiona na naikumbuka upo kama pele ujumbe uwe unawahi kulala ukue
salam zangu za kumi na moja ziende kwako ww
ujumbe tusiogope kufa mwaka huu kwani kufa kama kulala tu na makaburi kama matuta