General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Salam zikufikie kaka AsprinKiongozi mbona sijaona salamu zako? Hebu nisaidie kumsalimia jakitoo hapo juu
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Salam zikufikie kaka AsprinKiongozi mbona sijaona salamu zako? Hebu nisaidie kumsalimia jakitoo hapo juu
Nitajie hapa mimiBasi nakujia wasap kuja kukutajia eeenh sawa dada akee shunie
Mkuu salam zikufikie,sijui nimekusahau vipi
Nitajie hapa mimi
HahahahahaAsante sana Mangi..
Happy new year Mangi ake Shadeeya
Endelea kumfichaaa siku ukute ndo mbebez wanguuDada akee shunie hapa sikutajii hata aje Yesu ebu niache mimi
Hahaha hahahaHahhahahahha yaani wewe
Hahaha hahahaHahahahaha
Shadeeya ni rafiki mzuri sana...
Anajua kwanini nasema hivyoo!!![emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kumfichaaa siku ukute ndo mbebez wanguu
Hahaha hahaha
Nini jamanii
Hahaha hahaha hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wewe sawa tu akiwa mbebez wako utakuwa unahunga juhudi za mkulu ujue maendeleo hayana chama
We ndo ulinifunzaaaUjue we ni kivuruge
Hahhaha mecheka kwa sauti mm kivuli cha T jamaniii nimekumbukaHahaha hahaha hahaha
Kwa nini unamficha etiii au ni kivuli
Jamani kila kitu nasingiziwa mmWe ndo ulinifunzaaa
Hivi yupo kweeliiiHahhaha mecheka kwa sauti mm kivuli cha T jamaniii nimekumbuka
NdiwoooJamani kila kitu nasingiziwa mm