Natuma salam na wewe njoo utume zako

Natuma salam na wewe njoo utume zako

Salaam ziifikie familia yangu popote pale ilipo, baba, stepmother na wadogo zangu ujumbe nawapenda

Salaam zangu zimfikie Kiranga popote pale alipo, ujumbe ni kuwa yeye ni mtu wa mfano na ni mwalimu tosha, mim kama mtoto au mdgo wake, nampenda..much respect to you uncle!

Salaam za tatu kwa kampuni ya JamiiForums tz na ceo wake

Salaam za nne kwa wana jamiiforums wote, ujumbe nawapenda sana

Heri ya mwaka mpya! 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hahaha hahaha
Kama namuonaa
Noma Mimi kaka enu kujitosa pale
Mmu uko yupo busy na mbebisho ikabidi tu nijitambulishe mwenyewe kwa wifi nikamwambia mm wifi yako na tupo watatu nikawataja
Hahaha ilikubidi tu, Halaf kikubwa Zaid na akili zake uliziona.. Noma mimi[emoji23][emoji23] sema itakua ulinifikira Sana ikabidi ukubaliane nalo
Kwakweli mm namuelewa sanaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom