Mi ni kijana wa miaka 29,mkristo..,elim yangu ni degree na ninafanya kazi sasa mbeya. Natafuta msichana ambae atakuja kuwa mke wangu baadae:awe na umri miaka 21-29 na elim angalau kidato cha 6,dini,rangi na kabila lolote ila asiwe mnene. NiPM pls kwa msichaoa alie tayari.