Natumaini mke mwema atapatikana hapa leo!.

Natumaini mke mwema atapatikana hapa leo!.

Kajole

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
1,668
Reaction score
1,643
Mi ni kijana wa miaka 29,mkristo..,elim yangu ni degree na ninafanya kazi sasa mbeya. Natafuta msichana ambae atakuja kuwa mke wangu baadae:awe na umri miaka 21-29 na elim angalau kidato cha 6,dini,rangi na kabila lolote ila asiwe mnene. NiPM pls kwa msichaoa alie tayari.
 
lewo ni lewo ...mla ni mla lewo ...mpaka kijulikane. Anyway best of luck wanakuja lewo.
 
Back
Top Bottom