Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi usikose bando maake sasa ni ngumu ku access unavyo vitaka!Maelekezo nimefuata mpaka niweke data
Hakuna simu ambayo kama hauna internet unaweza kufungua kitu chochote kwenye hiyo mitandao uliyosema. Labda kama ilibakia kama kumbukumbu kwenye app husika itafungua ili hutaweza kuendelea mbele ya hapo.Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
Waganga wa tuma kwa namba hii mnavituko kweli.Kama mtu hajanielewa naomba unitumie meseji nikuelekeze. 0781300020
COLTAN anashindwa kuingia kwenye app za social media pindi hana data. Siyo kutumia hizo app bali hata kuingia tu.Hakuna simu ambayo kama hauna internet unaweza kufungua kitu chochote kwenye hiyo mitandao uliyosema. Labda kama ilibakia kama kumbukumbu kwenye app husika itafungua ili hutaweza kuendelea mbele ya hapo.
COLTAN cha kufanya washa data kisha ingia kwenye app ya apple store kisha tafuta social media app unayotaka kutumia, kuna weza kukawa na maneno mawili kati ya haya 'uninstall na update' AU 'uninstall na open/launch'
Mkuu kama youtube inafunguka Ingia youtube hata kwa kutumia simu ya jirani.Habarini. Natumia iphone 7 plus nikifungua whatsapp,Facebook,instagram,tiktok. Mpaka niwe na Data’ wakati iphone zingine hata kama hauna data zinafungua whatsapp,facebook,IG.
Huyu Ndo Amenielewa.Exactly Kabisa.COLTAN anashindwa kuingia kwenye app za social media pindi hana data. Siyo kutumia hizo app bali hata kuingia tu.
Kwa mfano wewe ukiwa umezima au huna data ila unataka kuingia Watsap kuchungulia meseji zako za awali, Watsap ikagoma kufunguka