Nunua kuku wa kienyeji hasa jike,ukisha mwandaa tayari kwa kupikwa,mchemshe bila maji maana atakuwa na maji aliyooshewa,maji yakikauka ataanza kutoa mafuta,hayo mafuta utayachukua na kuyaacha yapoe kisha utakuwa unamimina tone moja moja masikioni.
KUMBUKA: Hutapata mafuta ya kutosha.
TAHADHARI: Sijawahi kutumia mafuta haya,ila nasikia yanasaidia
MBADALA: Tumia black seed oil,tone moja asubuhi na moja jioni. Kama yatakuwa yaliyoandaliwa kiasili ni vyema ukayachemsha kabla ya kuyatumia. Hii ni tiba ambayo nina uhakika nayo.