shadownet
Senior Member
- Aug 4, 2015
- 133
- 677
Habari zenu..mimi ni kijana ambae nasumbuliwa na kutosikia vizuri since 2007, Nimeenda hospitali nyingi na kutumia dawa za vidonge lakini tatizo halikatatuliwa.
Naombeni msaada wenu kwa wenye ujuzi na haya mambo ya tiba asili mnishauri ni jinsi gani ya kupata mafuta ya kuku ili niweze kutibu masikio, ni kuku yupi anahitajika na je hayo mafuta nayapataje
Asanteni