Natural Attractions in Kenya and Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Lake Natron Tanzania


Mt Kilimanjaro (from Kilimanjaro West/Mkomazi /Arusha National Parks Tanzania


Oldonyo Lengai Mt (Mt of God for Massais in EA) spitting fire Tanzania



Thanda Private Island Mafia Tanzania


The snow cap of Mt Kilimanjaro Tanzania



The Serengeti (endless plains) Tanzania


Udzungwa water falls Tanzania



Kalambo waterfalls Tanzania



Ngorongoro crater Tanzania



Ngorongoro crater Tanzania



Bismack Rock Mwanza Tanzania

 
Hahahaha kwani za Kenya ni Artificial? Geza hebu weka za Kenya pia tuone ama its one sided show off?
 
Niwakati sasa Watanzania kuzinduka. Kila kitu tunacho kikubwa ni kuamua tu
Kuna watu dunia hii ukiwaambia ndizi zinavunwa ardhini kama karanga wanaamini, ukiwaambia usafiri wetu ni tembo hatuna magari wanashangaa na kuamini hahahaa, kuna watu wanaona kwenye TV tu na sisi tunaona kawaida tu.

Tujivunie utajiri wetu.
 
Chemka hot spring, hii ipo kilometer 40 ukitokia Moshi mjini Kuelekea Arusha kwa njia ya Barabara. chemchem hii imechukua jina la kijiji iliyopo. Maji yake ni ya uvuguvugu na masafi sana, yametengeneza bwawa zuri lililo chini ya miti, bwawa hili lina kina cha mita saba (7)

Iwe wewe ni Mtanzania au Mtalii wa nje njoo hapa and you ll have the time of your life.
#FoundInTanzaniaNotKenya

 
Malizia #FoundInTanzaniaNotKenya
 
Sielewi mbona mleta mada ameandika Kenya vs tz kwenye kichwa cha mada. Mimi naona natural attraction za tz tu. Zinavutia kweli,lakini mleta mada amekosea, kichwa cha uzi kingefaa kuwa Natural Attractions in Tanzania. Hio ingekuwa imetosha tu!
 
Wakenya, Waganda na warwanda hujawaalika watembee Chemka Hotsprings, ni wazungu tu?Acha ubaguzi, mtalii ni mtalii tu bora hela anatoa.
 
Sielewi mbona mleta mada ameandika Kenya vs tz kwenye kichwa cha mada.Mimi naona natural attraction za tz tu.Zinavutia kweli,lakini mleta mada amekosea,kichwa cha uzi kingefaa kuwa Natural Attractions in tanzania.Hio ingekuwa imetosha tu!
Kwahiyo mimi nikubandikie attraction zenu? Una wazimu! A truly lazy-ass indeed
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…