Geza Ulole sometimes i despair for you but i am an eternal optimist so i still hold out a candle of hope for you. You might actually change.
Acha nikusimulie kisa niliyosisikia miaka ya nyuma kutoka mama mdogo wangu aliyekuwa akifanya kwenye balozi ya kikenya bara europa. Alituambia kuwa kila wiki walikuwa wanakuja wageni wasiopungua 50 kuja kuuliza kama wataweza kupewa visa ya kuja kuukwea kilimanjaro. Ilibidi awaelekeze kwenye ubalozi wa TZ ambapo alikuwa na marafiki wengi na tena wa karibu. Cha ajabu ni kuwa waliuwa wakirudi tena ubalozi wa kenya sababu kusafiri toka europe hadi kili ilikuwa rahisi kuliko na njia ya JNIA!!!!Afu pia vifaa kama camping gear zilipatikana kwa urahisi esp kuzikodisha.Pia hamna kasheshe za viza. In fact waliamua waanze kuwaunganisha tour operators kwenye mpango ya kuwaleta via JKIA enroute to kilimanjaro. Ilifana sana hiyo plan yao.
My point: Hivi mmeweza kuunda tourist product ya kipekee kuhusu kilimanjaro mfano ya nchi ya Nepal walivyo toa na Mt.Everest?
Food for thought.