Natural Attractions in Kenya and Tanzania

IMG_20160309_180450.jpg
chyulu hills
 
Mistort? Please stick to swahili. Please for the love of god. Nakusihi utumie kiswahili.
Kwani wewe kingereza ni lugha yako? , hapo ingekuwa ni mzungu angemrekebisha ukizingatia ujumbe umefika, ila mpumbavu mmoja toka taifa maskini la Kenya atachukulia kama gia ya kupandia juu. , elimu is needed here!!
 
yeah blah blah blah yadi yadi yada. Go sit on a cactus. I corrected him do what you want blalifakin

Kwani wewe kingereza ni lugha yako? , hapo ingekuwa ni mzungu angemrekebisha ukizingatia ujumbe umefika, ila mpumbavu mmoja toka taifa maskini la Kenya atachukulia kama gia ya kupandia juu. , elimu is needed here!!
 
Kwani wewe kingereza ni lugha yako? , hapo ingekuwa ni mzungu angemrekebisha ukizingatia ujumbe umefika, ila mpumbavu mmoja toka taifa maskini la Kenya atachukulia kama gia ya kupandia juu. , elimu is needed here!!
Mbona watz mkikosea kutumia kiingereza ipasavyo mtu akijaribu kuwasaidia mnatokwa na povu ivo?Mbona mkirekebisha mkenya akikosea kutumia kiswahili ipasavyo hutawasikia wakenya wakilalamika?Nyie ndo mna akili za kitumwa mkisikia neno kiingereza mnaingiza wasiwasi.Lugha ya mama kwa wakenya wengi si kiswahili wala kiingereza,na mkenya akiwa na uelewa wa moja ya lugha hizo mbili inakuwa ni 'advantage' kwake,kwetu si ishu.Mtu akijaribu kunifunza lugha yangu ya mama Gikuyu hapo nakubaliwa kukasirika,hizo zingine ni lugha za kigeni tu!
 
Back
Top Bottom