Natural death ni uzee na kuugua tu vifo vingine tumevitengeneza binadamu

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death

VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa

Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology

Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?

Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
 
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjw...
Unafanya kazi, na unatembea kwamguu, umechoka kutembea kwamguu, unajinyima kula unaweka saving unanunua gari, baada ya muda unaumwa, unaenda hospitali, daktari anakuambia fanya mazoezi uliyoyaacha kuyafanya, kwakujinyima kula...

Learning to think V's What to think
 
Tumeharibu maisha yetu Kwa viherehere
 
Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death

VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa

Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology

Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?

Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
Hata kuugua mtu anaweza kusema kunaepukika !! Kwa mfano, kufa kwa kipindupindu au kwa ukimwi kunaepukika !!
 
zamani sana kwenye zama za mawe lifespan ilikuwa inacheza kwenye 30-50

magonjwa ya kuambukiza hayakuwa na dawa, uhakika wa chakula haukuwepo, na tulikuwa kwenye menu ya dubu, paka na ndege wakubwa

tunapenda kuona kwamba tunastahili kuishi maisha marefu lakini wala, bahati ya akili tuliyoipata ya kuvumbua mambo ndo inatuokoa

We are not special.
 
Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death

VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa

Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology

Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?

Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
Vifo vingekuwepo hata hivyo vyote visingekuwepo mana kuna uchawi unaotokana na wivu pia kuna kafara za watu,majanga ya asili ko hata iweje watu wangekufa tu pia fikiria kama maendeleo ya sayansi na teknolojia yasingekuwepo kungekuwa na ukeketaji pia wajawazito wangekuwa hatarini, pia wanyama wa porini wangekuwa wengi kupitiliza.
 
Una point
 
Mafuriko? Tetemeko? Kimbunga? Maporomoko? Etc
Hivyo vimbunga tumsingizie Mungu na ndugu yake shetan wao ndio wasababishaji wa hizo natural disasters.

Na hii iwaendee wale wanaosema kifo cha fulani sijui ni Mungu kapanga ama sijui shetan kasababisha, huu ni uzushi, Vifo vingi kwa sasa hasa ajali ni uzembe wa watu kutofuata taratibu&sheria, pili baadhi ya majanga hasa mafuliko yanapoua raia hapo ni uzembe wa raia kuweka makazi ktk maeneo hatarishi haswa kujenga kwenye mikondo ya maji.

Hata huko mahospitalin ndiko hovyo kabisa, wagonjwa hawatibiwi kwa viwango vinavyohitajika, wengi wao wanakufa kwa uzembe wa wauguzi wetu ama uzembe wa raia kutofika hospitali kwa wakati ama uzembe wa serikali kutokidhi miundombinu ya usafirishaji ama uwepo&ubora wa vifaa tiba mahospitali.

Kiufupi ni kwamba, jinsi tunavyofanikiwa kitechnolojia ndivyo hata kifo tunakisogelea badala ya kukiepuka.

Uzembe kila mahala,
 
Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death

VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa

Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology

Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?

Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
Kwaio watu wasinge panda kwenye miti kuchuma matunda?
 
Back
Top Bottom