Unafanya kazi, na unatembea kwamguu, umechoka kutembea kwamguu, unajinyima kula unaweka saving unanunua gari, baada ya muda unaumwa, unaenda hospitali, daktari anakuambia fanya mazoezi uliyoyaacha kuyafanya, kwakujinyima kula...Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjw...
Mamaee!!Punguza Kisukari Ma Mwana,,Sawa?kmmk, unajua utakufaje wewe?
Natural death inatakiwa kuwa uzee tu, kuugua ni uzembe wa matibabu.Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjw...
Tumeharibu maisha yetu Kwa viherehereUnafanya kazi, na unatembea kwamguu, umechoka kutembea kwamguu, unajinyima kula unaweka saving unanunua gari, baada ya muda unaumwa, unaenda hospitali, daktari anakuambia fanya mazoezi uliyoyaacha kuyafanya, kwakujinyima kula...
Learning to think V's What to think
Hata kuugua mtu anaweza kusema kunaepukika !! Kwa mfano, kufa kwa kipindupindu au kwa ukimwi kunaepukika !!Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa
Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology
Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?
Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
Vifo vingekuwepo hata hivyo vyote visingekuwepo mana kuna uchawi unaotokana na wivu pia kuna kafara za watu,majanga ya asili ko hata iweje watu wangekufa tu pia fikiria kama maendeleo ya sayansi na teknolojia yasingekuwepo kungekuwa na ukeketaji pia wajawazito wangekuwa hatarini, pia wanyama wa porini wangekuwa wengi kupitiliza.Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa
Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology
Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?
Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
Yako umeipalilia vizuri lakini hicho kipiripiri?kmmk, unajua utakufaje wewe?
Una pointVifo vingekuwepo hata hivyo vyote visingekuwepo mana kuna uchawi unaotokana na wivu pia kuna kafara za watu,majanga ya asili ko hata iweje watu wangekufa tu pia fikiria kama maendeleo ya sayansi na teknolojia yasingekuwepo kungekuwa na ukeketaji pia wajawazito wangekuwa hatarini, pia wanyama wa porini wangekuwa wengi kupitiliza.
Hivyo vimbunga tumsingizie Mungu na ndugu yake shetan wao ndio wasababishaji wa hizo natural disasters.Mafuriko? Tetemeko? Kimbunga? Maporomoko? Etc
Kwaio watu wasinge panda kwenye miti kuchuma matunda?Wakuu habari zenu Leo Niko hapa kuongelea kuhusu natural death
VIFO ambavyo binadamu tulipaswa tufe ni kutokana na kuuzeeka au magonjwa
Ila aina zingine za Vifo zinaletwa na ujuaji wetu Ujanja Ujanja wa ku innovate vitu Kwa kusingizia maendeleo ya science and technology
Assume Dunia bila gari Wala chanzo chochote Cha usafiri kisingekuwepo Kuna ambae angekufa Kwa ajari?
Na aina zingine mbali mbali za Vifo vyote tumevitengeneza binadamu wenyewe
Heee kwani wewe jinsia gani!! Au tuseme dunia inaenda kasi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kmmk, unajua utakufaje wewe?
Ukimwi hapo [emoji23][emoji23][emoji23] mzee alisema umeshika pabayaHata kuugua mtu anaweza kusema kunaepukika !! Kwa mfano, kufa kwa kipindupindu au kwa ukimwi kunaepukika !!