Natural death ni uzee na kuugua tu vifo vingine tumevitengeneza binadamu

Watu wana panda ndege juu angani lolote litakalo tokea ni kujitakia tuu
 
Tungekufa tu hata kwa kuangushwa na farasi
 
Kuhusu majanga ya asili, Mungu wala shetani hawahusiki ila ni shunguli za kibinadamu ndio sababu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…