Huu utabiri natabiri utakuwa ni wa ukweli mtupuUtabiri interview itaishia njiani napo ni saa tano usiku
Uzi utajaaa comments za watu kuzidi za mgeni rasmi. Ubuyu utakosekana baada ya otieno kuibuka
Namwambia kila siku sema hanielewiBasi naomba umwambie Niyombare kua humtaki upo na mm tu
Nilijua ndio maana unamwita baby.Mondray ni mtoto wa mama angu mdogo,ni mdogo wangu kabisa yule
Wala usiwe na hofu nae
ila kwenye hiyo interview usiniulize swali lolote kuhusu chura!Bebe rafiki naomba nikufanyie interview,mi ninao vyura wa kutosha
Hao watakiw misosi ya wazeeTangu otieno aibuke kusikojulikana akisaidiana na richard abdala
Umenichekesha sana!Mondray ni mtoto wa mama angu mdogo,ni mdogo wangu kabisa yule
Wala usiwe na hofu nae
Wote hawana umuhimu zaidi yakoNilijua ndio maana unamwita baby.
Nauyo anaetuma kiuwa itakuwa mjomba wako sioee?
naskiq haruifu ka kuna kitu kinaungua..[emoji9] [emoji9]Tangu otieno aibuke kusikojulikana akisaidiana na richard abdala
Yaaanikwa unaefuatilia kila umbea utakoma!!
Baby hiyo comment sijaandika mimiUmenichekesha sana!
Leo hii nimekua mdogo wako sawa!
Jamaa ni mpole sana hapa ila ni mkali kinoma kule pm!!
Naona unahitaji kupimwa mkojo wahi sentro kwa uchochezi.Basi naomba umwambie Niyombare kua humtaki upo na mm tu
Kwetu tupo wa4 tu, alf sjaelew tamadun ya kichaga kivp sjaelewa mkuu???Uwe una like post yangu kabla ya kujibu ili ionekane mapema as l do!!
Okay kwenu mmezaliwa wangapi
Na tamaduni ipi ya kichaga uliyolelewa!!?
DJ sepetu
Dada siku hizi nakuogopa sana kwa sababu nimepata taarifa kuwa umeanza kuchapa viboko wadogo zako!!Yaaani
Nimeskip mdogo wangu.....
Mbona nilishamkataa kule PM na maua yake
Nilijua ndio maana unamwita baby.
Nauyo anaetuma kiuwa itakuwa mjomba wako sioee?
AmaizingWote hawana umuhimu zaidi yako
Najua wanaume wa Dar hampendi hayo maswaliila kwenye hiyo interview usiniulize swali lolote kuhusu chura!