Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Kaz tu ziliwatengansha kwa mda na kwakua nampenda sana mamy wang nkaish nae kwa mda mrefu
Kipi kilikufanya uchague kuishi na mama zaidi kuliko baba!!?
Kwa kutokuwepo baba nn ulikosa!?
Mama unamthamini kwa mambo yepi matatu mathalani!

DJ sepetu
 
Fifth ilani:mtandao unamsumbua natural girla

DJ sepetu
 
Kipi kilikufanya uchague kuishi na mama zaidi kuliko baba!!?
Kwa kutokuwepo baba nn ulikosa!?
Mama unamthamini kwa mambo yepi matatu mathalani!

DJ sepetu
Nmependa kuish na mamy wang yan kutoka tu ndan ya moyo! Na kama unavyo elewa mother kila mtu ana mpend ndo maana wanasemaga nan kama mama japokua na dady wangu nampend sana tu.
Alafu kutokuwepo na dady kunavitu tu nlkuwa nafanya ambavy vlkuwa n makosa na kwakua mamy wang nmemzoea kwaiyo sikuwa naogopa sana kama ambavyo dady angekuwepo.
Na pia namthamin mamy wang kwa kunzaa na kuntunza vizur mpaka hapa nilipo na, upendo wake kwangu malez yake mpka now nainjoy sana, nafkir nmekujb vizur???
 
Hongera kwa mama wenye upendo kwa watoto!!
Elimu yako ni ya ngazi gani!?
Na kwa sasa unajishughulisha na kitu gani!?

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…