AhahahhhSiyo ya kidingi mkuu, watu wengi wa umri huo huwa wanakuwa na pumba, ila wewe siyo.
Mtafanya ni pakimbie humu jamaani[emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni fake na haina uhalisia wowote ile avatar
Salute sana bossSiyo ya kidingi mkuu, watu wengi wa umri huo huwa wanakuwa na pumba, ila wewe siyo.
Dada Leo umenicheka sana itabidi na ww tukujaze kwenye 18 zako tukucheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Salute sana boss
Jaman kwahiyo ulitaka ninune Sergio huoni nimekwambia ukweli kuhusu avatar na umeitoaDada Leo umenicheka sana itabidi na ww tukujaze kwenye 18 zako tukucheke
Tuyaaache hayoJaman kwahiyo ulitaka ninune Sergio huoni nimekwambia ukweli kuhusu avatar na umeitoa
Miss you[emoji25] [emoji19][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125]
Mithiiing you too dearMiss you[emoji25] [emoji19]
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Mithiiing you too dear
Maswali bado yanaendelea au??Shikamooni wakubwa
Mambo zenu
Saa za jioni kuanzia sasa na saa kumi na moja tunawajulisha kuwa
Tutakuwa na Mrembo hapo juu katika show baraza yetu Leo!
Kukumbusha tu lengo hasa la baraza hii ni kutoa elimu burudani
Kupunguza uchovu na stress za maisha!!
Ikiwa kwa namna yoyote mtu ataona baraza au gumzo halimfai anaweza tu akaenda majukwaa au nyuzi zingine!.maisha ni sinia chagua utakacho!
Bonjour!!!
DJ sepetu
Thank you baby.
Pamoja sana Dear, much love
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji122] [emoji4] [emoji8]Thank you baby.
maswali bado yanaendelea??Shikamooni wakubwa
Mambo zenu
Saa za jioni kuanzia sasa na saa kumi na moja tunawajulisha kuwa
Tutakuwa na Mrembo hapo juu katika show baraza yetu Leo!
Kukumbusha tu lengo hasa la baraza hii ni kutoa elimu burudani
Kupunguza uchovu na stress za maisha!!
Ikiwa kwa namna yoyote mtu ataona baraza au gumzo halimfai anaweza tu akaenda majukwaa au nyuzi zingine!.maisha ni sinia chagua utakacho!
Bonjour!!!
DJ sepetu
maswali bado yanaendelea..nataka niulizeKaz tu ziliwatengansha kwa mda na kwakua nampenda sana mamy wang nkaish nae kwa mda mrefu
kwa hiyo tunafanyaje sasaMuhusika hayupo
muosha rungu
Baby shida ni nini?kwa hiyo tunafanyaje sasa
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Babe hamna shida sio kama nalalamika, ni sikupata time muda ule wakati anajibu maswali...ndio maana nauliza kama vipi niulizeBaby shida ni nini?
Mbona wakati muhusika anahitaji kuulizwa maswali ulikimbia, muhusika kaondoka ndio umerudi kulalamika.
Achana na hii interview sio rahisi maana ni kuongea kwa kingreza tuu shauri yako usije sema sikukuonya [emoji124][emoji124][emoji124]