Natural girls live interview on DJ sepetu show!!

Mithiiing you too dear
2427d93d4115930b45f38b6ad324180a.jpg

Pamoja sana Dear, much love

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Shikamooni wakubwa

Mambo zenu

Saa za jioni kuanzia sasa na saa kumi na moja tunawajulisha kuwa
Tutakuwa na Mrembo hapo juu katika show baraza yetu Leo!

Kukumbusha tu lengo hasa la baraza hii ni kutoa elimu burudani
Kupunguza uchovu na stress za maisha!!

Ikiwa kwa namna yoyote mtu ataona baraza au gumzo halimfai anaweza tu akaenda majukwaa au nyuzi zingine!.maisha ni sinia chagua utakacho!

Bonjour!!!

DJ sepetu
Maswali bado yanaendelea au??

maswali bado yanaendelea??

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Baby shida ni nini?
Mbona wakati muhusika anahitaji kuulizwa maswali ulikimbia, muhusika kaondoka ndio umerudi kulalamika.
Achana na hii interview sio rahisi maana ni kuongea kwa kingreza tuu shauri yako usije sema sikukuonya [emoji124][emoji124][emoji124]
Babe hamna shida sio kama nalalamika, ni sikupata time muda ule wakati anajibu maswali...ndio maana nauliza kama vipi niulize

BTW hii ndio ile ya kiingereza au ile ya beth??

Back
Top Bottom