Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sawa Muosha Rungu..usisahau kunitagTumngoje siku akija
muosha rungu
Hii comment ni ya kule sijui kwanini imekuja huku, huku ipo nyingine mbonaBabe hamna shida sio kama nalalamika, ni sikupata time muda ule wakati anajibu maswali...ndio maana nauliza kama vipi niulize
BTW hii ndio ile ya kiingereza au ile ya beth??
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Nahisi umechanganya mafaili angalia vizuriHii comment ni ya kule sijui kwanini imekuja huku, huku ipo nyingine mbona
YeahNahisi umechanganya mafaili angalia vizuri
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
iko wapYeah
Huku ipo nyingine
HiiBaby shida ni nini?
Mbona unalalamika sana?
Anhaa hapa sawa...Stress za kuchelewa kuuliza swali hizi tuBaby shida ni nini?
Mbona unalalamika sana?
Ahahahaaaaaa pole sana, ila muosha rungu leo ametuweza wapenda ubuyu maana sio kwa kingreza kile looh nimepakata dictionary mpaka mapaja yameuma amejua kunitesa sana kwasababu ilikuwa ni zoezi la kufungua kamusi na kufunga [emoji23][emoji23][emoji23]Anhaa hapa sawa...Stress za kuchelewa kuuliza swali hizi tu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
very sorry babe..kule hata mimi sikukanyaga saana nimeibuka usiku huu kuuliza maswali ila nakuta ni ngeli tu [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Ahahahaaaaaa pole sana, ila muosha rungu leo ametuweza wapenda ubuyu maana sio kwa kingreza kile looh nimepakata dictionary mpaka mapaja yameuma amejua kunitesa sana kwasababu ilikuwa ni zoezi la kufungua kamusi na kufunga [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]very sorry babe..kule hata mimi sikukanyaga saana nimeibuka usiku huu kuuliza maswali ila nakuta ni ngeli tu [emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikristo ni kigumu sana jamani